Huduma kwa wateja.

karibu tukuhudumie

Kwa changamoto au msaada wowote kuhusiana na huduma zetu unaweza kuwasiliana nasi kupitia njia zifuatazo;

Tujulishe kupitia barua pepe

Unaweza kuwasiliana na Mtoa Huduma wetu kwa njia ya barua pepe kupitia  info@tata.or.tz

Huduma mtandaoni

Unaweza kubadilisha taarifa za akaunti yako kwenye ukurasa wa Taarifa zangu.

Wasiliana na mtoa huduma kupitia simu

Huduma kwa mteja kwa njia ya simu hupatikana siku za kazi kuanzia Jumatatu hadi Ijumaa saa 8:30 asubuhi hadi saa 5:30 jioni kupitia +255 711 600 888.
Kumbuka: Ili kupata huduma tafadhali hakikisha unakuwa na namba yako ya uanachama, ambayo inapatikana kwenye kadi yako ya Uanachama.