Maktaba ya Picha

Agosti 20, 2024

Mwenyekiti wa Chama cha walipa kodi nchini, TATA, Mzee. Otieno O Igogo akizungumza na wanafunzi wa vyuo vikuu vya Dar es Salaam na Dodoma wanaofanya mazoezi kwa vitendo Redio Uhuru FM walipomtembelea ofisini kwake Agosti 20, 2024 kwa ajili ya kujifunza kuhusu TATA. Kuanzia kushoto ni Irene Maxmillian Mboweto, Shadya Abdul Aziz Dihunganika, Witness Kennedy lema na Amina Jamal Sanzagala. Picha na TATA.