Tafiti zilizofanyika

Tuna andaa na kufanya tafiti mbalimbali kuhusu changamoto zinazo wakumba Walipakodi na mamlaka za Mapato nchini. Tafiti zetu zinalenga kukuza uelewa, kutoa mapendekezo ya sera na kuweka mikakati ya kuhamasisha udhibiti, ulipaji lodi wa hiari, uwazi na uwajibikaji katika matumizi ya fedha za kodi, kubainisha sheria, kanuni na masharti ya kodi yasiyo rafiki kwa walipakodi ili kuleta ufanisi katika Mamlaka za Mapato na serikali kwa ujumla.

Jisajili ili upate habari mpya za kodi, mabadiliko ya sera na sheria za kodi, majarida ya kodi, matangazo na matukio ya Chama.