Maono ya Walipakodi

Kutokana na ushirikishwaji mdogo wa walipakodi hasa katika uandaaji na etekelezaji wa sera na sheria za kodi nchini, hali inayopelekea uundaji wa sera ambazo haziendani na uhalisia katika utekelezaji.

Kupitia jukwaa la Mlipakodi anaweza kutoa maoni na kupendekeza mabadiliko ya sera na sheria na mifumo ya kodi hapa nchini. Maoni hayo yatachukuliwa na kuchapishwa kama mapendekezo ya walipakodi ili kuwasaidia watunga sera na mamlaka za Usimamizi wa Mapato kuunda sera zinazozingatia maslahi ya Walipakodi na kuimarisha mazingira ya uwekezaji ili kuongeza mapato ya ya serikali bila kuweka mzigo mzito kwa walipakodi.

Jiunge nasi upate usaididzi katika changamoto zote za kikodi

.

Jisajili ili upate habari mpya za kodi, mabadiliko ya sera na sheria za kodi, majarida ya kodi, matangazo na matukio ya Chama.