UONGOZI WA CHAMA CHA WALIPAKODI TANZANIA (TATA) UNAMPONGEZA BW. YUSUPH JUMA MWENDA KWA KUTEULIWA KUWA KAMISHNA MKUU WA MAMLAKA YA MAPATO TANZANIA (TRA))
Uongozi wa Chama cha Walipakodi Tanzania (TATA) unampongeza Bw. Yusuph Juma Mwenda kwa kuteuliwa kuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) manamo tarehe 02/07/2023, akichukuwa nafasi ya Bw. Alphayo Japan Kidata aliyeteuliwa kuwa Mshauri Rais, Ofisi ya Rais Ikulu.