Wasilisha mapendekezo ya mabadiliko ya kodi kwa TATA
Wasilisha mapendekezo ya Mabadiliko ya kodi kupitia TATA
Kwa nini uwasilisha mapendekezo?
What would you be willing to give up if you knew that others are giving up their breaks and the end result would be a much simpler system? What particular provisions of the existing tax system are especially burdensome or seem particularly unfair? Let us know. We track these suggestions and post them periodically, thereby helping to further the cause of tax reform and tax simplification.
Wasilisha pendekezo lako-
Pendekezo lako linafaa kutumika kwa maslahi ya umma kwa ujumlaFomu hii sio kwa ajili ya matatizo ya kikodi ya mtu mmoja. Kama una shida ya masuala ya kikodi na TRA na umeshindwa kuyasuluhisha wewe mwenyewe tafadhali wasiliana nasi TATA. Iwapo una maswali kuhusiana na kodi wasiliana na TRA.
-
Hatutajibu swali/pendekezo lako kwako moja kwa mojaMapendekezo yako yatakusanywa na kuwasilishwa kupitiwa na jopo la utetezi wa walipakodi. Hatutatoa jibu kwa mtu mmoja mmoja / mtu binafsi.
-
Mapendekezo yako yanachukuliwa kwa uzitoTunachukua maoni yako kwa uzito. Mapendekezo yote yanapitiwa na kuongezwa ili kuweka ipasavyo kwa majadiliano siku zijazo katika mikutano ya jopo la utetezi wa walipakodi. Tunamshukuru kila mmoja ambaye ametoa maoni na tunawahimiza wengine kujiunga na mdahalo huu.
