HUDUMA TUNAZOTOA ZA KODI
At the Taxpayers Association of Tanzania, we provide comprehensive tax accounting services designed to empower both businesses and individuals. Our expert team combines in-depth knowledge of tax regulations with advanced accounting techniques, delivering valuable insights that help you navigate challenges, mitigate risks, and seize new opportunities.
Whether you need support with audit preparation or assistance in preparing tax provisions for accurate financial reporting, we’re here to guide you every step of the way. We’ll help you stay informed about the latest tax laws and how to effectively manage any uncertainties they may bring
HUDUMA ZA USHAURI WA KIUHASIBU
Katika uandaajii na uwasilishaji wa taarifa za mahesabu ya kodi (filling returns) wafanyabiashara na makundi mengine ya Walipakodi mara nyingi hukumbana na changamoto ambazo mara nyingine huwa kikwazo katika uwasilishaji wa taarifa hizo kwa wakati na kupelekea kupigwa faini. Baada ya kutambua changamoto hizo Chama cha Walipakodi Tanzania kimeandaa namna rahisi ya Walipakodi kupata ushauri bure kwa njia ya simu, lakini pia kuwakutanisha walipakodi na wataalam wenye ujuzi wa kutosha katika masuala ya uhasibu na kodi ili waweze kuwashauri katika kupambana na changamoto hizo. Pia, kutoa ufafanuzi wa athari za mabadiliko ya sera na sheria za kodi na jinsi ya kuepuka ama kudhibiti athari hizo
.
- Monthly management reports
- Current Ratios
- ROI monitoring
- Cash-flow analysis
- Complete ledger management
- Financial Health Reporting
.
Ipi tofauti kati ya Mshauri wa masuala ya kodi na Mhasibu?
Mbali ya ukweli kuwa wote wawili wanashughulikia masuala ya kodi, wanatofautiana katika msingi wa malengo yao na asili ya huduma zao. Mshauri wa masuala ya kodi anajiingiza zaidi katika mipango mikakati na ushauri katika masuala magumu (complex) ya kikodi. Ukihitaji ushauri wowote wa kisheria unaohusiana na kodi kutoka kwa Mshauri wa kodi, lazima awe mtu anayefanyia kazi masuala ya kodi, ambaye amesajiliwa na Bodi ya wahasibu na wakaguzi na wakati huo huo awe amesajiliwa na Mamlaka ya mapato nchini, TRA.
Mhasibu yeye analenga katika shughuli za kuandaa na kujaza kodi, hii maana yake tunaweza kusema iko kiujumla zaidi, (all-encompassing term). Pia Mhasibu anaweza kufanya kazi ya Mshauri wa kodi lakini sio mara zote. Sio wahasibu wote wanaweza kushughulikia masuala ya kodi, baadhi yao zaidi hushughulika na vitu kama kuandaa taarifa z akifedha, (journal reconciliation), bajeti pamoja na mambo mengine kama hayo. Wakati mwengine, wahasibu wanafanya kazi ya muadnaaji wa kodi (Tax Preparer) lakini so Mshauri wa kodi. Kwa masuala ya kuandaa kodi na ufuataji wa sheria zake ulio bora zaidi basi Mhasibu ndiye mtu sahihi zaidi sio mshauri wa kikodi.
Mtayarishaji wa kodi hufanya kazi ya kujaza fomu muhimu na nyaraka mbali mbali kwa ajili ya kuwasilisha katika mamlaka za kodi. Huku wakiwa na malengo yanayofanana katika kushughulikia masuala a kodi, maeneo yao ya utaalamu yanatofautiana kiumuhimu. Katika kesi/matukio mengine, wote wawili Mshauri wa kodi na mhasibu wa kodi wanaweza kutoa huduma za ziada kwa kutumia mbinu pana kwa wasimamizi au uongozi wamasuala ya kodi na mahesabu.