Mazungumzo ya TATA
Katika ukurasa huu, tunachanganua, kuwasiliana na kupanga nafasi za mazungumzo kati ya Serikali, mashirika ya kiraia, wasomi na sekta ya kibinafsi kuhusu masuala yanayohusiana na kodi. Karibu tuzungumze Wataalam wa kodi na viongozi wenye mawazo na maono katika taaluma ya kodi watakuwa wakiwasilisha mada mbalimbali kuhusu kodi, ikiwepo ufafanuzi wa athari za sheria na viwango vya kodi, namna ya kukokotoa na kusimamia kodi vyema pamoja na kuandaa video mbalimbali za kuelimisha walipakodi..