Vidokezo vya kufanya tathimini ya kodi

Toa taarifa ya changamoto yoyote inayowakumba walipakodi au usimamizi usioridhisha wa matumizi ya fedha za kodi katika eneo lako

Jiunge nasi upate usaididzi katika changamoto zote za kikodi

Jisajili kuwasiliana na mshauri wa kisheria, kupokea taarifa mpya juu ya unafuu na mabadiliko ya kodi yanayotolewa katika matangazo mbali mbali ya Chama cha Walipakodi Tanzania.