Makala ATAF releases seminal analysis on tobacco tax landscape The 2023 African Tax Outlook The African Tax Administration Forum (ATAF) has unveiled the 2023 edition of the African Tax Outlook (ATO), providing an in-depth and influential analysis of the tobacco tax landscape across the continent. TRA Takwimu Makusanyo ya shilingi trilioni 2.246 sawa na asilimia 104.4. katika kipindi cha mwezi Julai, mwaka wa fedha wa 2024/2025. Mamlaka ya Mapato Tanzania, (TRA) imekusanya jumla ya shilingi trilioni 2.246 sawa na asilimia 104.4 ya lengo lake la kukusanya shilingi trilioni 2.34 katika kipindi cha mwezi Julai, mwaka wa fedha wa 2024/2025.