Tumia fomu iliyoambatishwa kwenye ukurasa huu kuwasiliana nasi ikiwa unahitaji usaidizi wa kuandaa mahesabu ya kodi (filling tax returns).
Katika fomu hapo chini, jaza taarifa za mawasiliano (hususan namba ya simu na maelezo mafupi ya aina ya usaidizi unaohitaji. Pia tujulishe ni lini ungependa kuwasiliana au kukutana na mhasibu wetu.
Huduma hii inahitaji kuchangia gharama kidogo kulingana na ukubwa wa kazi husika.