WASILISHA SWALI LAKO KUHUSU KODI AU CHANGAMOTO YOYOTE INAYOHUSU KODI.

.

Kila wiki, wataalam wetu hujibu maswali matatu yanayowasilishwa na wanachama mtandaoni. Majibu huchapishwa kila siku ya Ijumaa ya kila wiki na huwekwa kwenye tovuti hii, na kwenye jarida la TATA.

Unaweza kuwasilisha swali/ changamoto yako kupitia fomu ifuatayo:

Sehemu zilizo na alama ya Nyota (*) lazima ijazwe.

Kumbuka: Hatutajibu swali la kila mtu kibinafsi, majibu yote huwekwa kwenye tovuti na pia huchapishwa kwenye jarida la TATA.

.