Wasilisha Tatizo (Suala)
Je unafahamu tatizo la kodi ambalo linaathiri zaidi ya Mlipakodi mmoja?
Unaweza kusaidia TATA kupitia huduma ya kutetea walipakodi kushughulikia kwa mapana matatizo makubwa ndani ya TRA au kuhusu sheria ya Usimamizi wa kodi kwa kuripoti kwetu. Masuala haya ya kimfumo ni pamoja na:
- Daima huathiri wengi wa walipakodi
- Usimhusu mlipakodi mmoja tu, (Lakini ikiwa wewe binafsi unalo tatizo na TRA ambalo halijatatuliwa Kitengo cha Msaada wa Kisheria cha TATA kinaweza kukusaidia.
- Kuhusisha mifumo, sera na taratibu za TRA,.
- Shirikisha kulinda haki za mlipakodi, kupunguza mzigo, kuhakikisha unatendewa haki au kutoa huduma muhimu kwa Mlipakodi.
Read our Soma maswali yanayoulizwa mara kwa mara, (FAQs) kwa maelezo zaidi kuhusu kuwasilisha masuala ya kimfumo for additional information on submitting systemic issues.
