Ushauri wa Kikodi

Kwanini unahitaji ushauri wa TATA

Je, unachangamoto yoyote ya kodi au unahitaji ufafanuzi wowote juu ya aina, sera na sheria za kodi?, je unahitaji kufungua biashara mpya na uanahitaji msaada wa namna ya kupangilia na kusimamia kodi?. Kupitia ukurasa huu utaweza kuwasiliana na Washauri wetu wa kodi kupitia simu ama barua pepe, Pia, chama kimeandaa namna rahisi ya kuwakutanisha Walipakodi na washauri wa kodi. Aidha, mwanachama anaweza kuuliza swali ama kuwasilisha changamoto yoyote anayokumbana nayo katika masuala ya kodi, kwa ajili ya kupata ufumbuzi wa changamoto hiyo.

TATA Consultants do offer the following services for businesses:-

  • Representing a client in dealings with the Tanzania Revenue Authority (TRA) or other tax collection agencies.
  • Collecting, organizing and preparing tax documents and returns.
  • Evaluating a client’s financial and legal circumstances to determine tax liabilities.
  • Assisting clients with tax issues during and after significant transitions, such as mergers or acquisitions, new business start-up or even business closure.
  • Completing complex tax forms and schedules that most tax preparers are unfamiliar with.

NOTE: Members pay only for services that do not concern tax issues or require more work than usual due to its Complexity. For non-members, all legal assistance services are subject to a fee. We will clarify the estimated cost of a particular service after meeting the client; this will take place free of charge.

Ushauri kwa njia simu unapatikana jumatatu hadiijumaa saa 03:00 asubuhi hadi saa 10:00 jioni kupitia namba +255 749 600 888

Unaweza kuonana na mshauri wa kodi, iwapo unahitaji msaada zaidi au usaidizi wa kuandaa mahesabu.




Wataalamu wetu hujibu maswali mawili au matatuyanayowasilishwa na wanachama kila wiki kwenye tovuti yetu. Majibu yanapatikana kwa kila asomaye tovuti hii.