TAX EXPERTS ANSWERS

Majibu ya maswali mbalimbali yaliyoulizwa na walipa kodi kupitia tovuti yetu, barua pepe na kwa njia ya simu.

Kama bado una utata wasiliana na wataalamu wetu hapa

 

kumbuka Hakikisha unakuwa na nambari yako ya uanachama kabla haujapiga simu kwa ajili ya msaada au kuuliza maswali. Tafadhali zingatia.

Unaweza kuwasilisha maswali yako hapa

Wataalamu wetu hujibu maswali mawili au matatu yanayowasilishwa na wanachama kila wiki kwenye kurasa hizi. Majibu yanapatikana kwa ajili kila mtu kusoma.

Jiunge nasi upate msaada wa usaidizi katika changamoto zote za kikodi

.