Maoni ya Walipakodi

Fahamu maoni ya walipakodi juu ya miswada na maboresho ya sheria na sera za kodi, maamuzi na matumizi ya fedha za kodi, pamoja na masuala yote yanayohusu kodi na biashara.

Maoni yako ni muhimu ili kuboresha mifumo ya kodi nchini