MSAADA KWA NJIA YA SIMU
Pata ushauri wa kiuhasibu juu ya maswali yote yanayohusiana na uandaaji wa ritani za kodi (Filling Tax Returns) kwa njia ya simu ya bure, hii ni kwa Wanachama pekee. Kwa wasio wanachama watalazimika kuchangia gharama kupata huduma.
.
Huduma hii inapatikana siku za kazi kuanzia Jumatatu hadi Ijumaa saa 3:00 asubuhi hadi saa 10:00 jioni kupitia nambari ya simu +255 749 600 888. Tafadhali, Unapowasiliana na mtoa huduma hakikisha unakuwa na nambari yako ya uanachama. Nambari hii inapatikana kwenye kadi yako ya uanachama, ina tarakimu 4-8.
.
Ushauri kwa wasio wanachama
Kwa wasio wanachama wanaweza kupata ushauri kwa kuwasiliana nasi kupitia +2555 733 600 888 siku za kazi kutoka 3:00 asubuhi hadi 10:00 jioni, ambapo watalipia gharama.
Kumbuka: Ada ya kupiga simu itatozwa unapopiga simu. Kiwango cha ada hizi hutofautiana kulingana na Mtandao husika.
